Imeandaliwa na Mtila Mswahili.UTANGULIZIKwa mujibu wa Kilonzo (2021) theita za kijadi ni mchakato
wa kisanaa unaotumia uigizaji wa moja kwa moja, miondoko ya kimila, simulizi na
nyimbo za jadi ili kuwasilisha ujumbe wa kijamii na kihistoria, kwa lengo la
kuhamasisha mabadiliko ya kijamii na kudumisha utambulisho wa kitamaduni.
Pia Moshi (2020) anaeleza theita za kijadi kuwa ni jukwaa
asilia la mawasiliano ya jamii ambalo linajumuisha masimulizi...
19 Jun 2025
18 Jun 2025
Imeandaliwa na Mtila MswahiliUTANGULIZIAsili ya tamthiliya ya kiswahili ni dhana pana
ambayo inapaswa kujadiliwa kwa kina ili kuweza kuleta maana nzuri. Ili kuweza
kuijadili kwa kina dhana hii inapaswa kujadiliwa kwa mitazamo mikuu miwili
ambayo ni asili ya tamthiliya ya kiswahili kama zao la waafrika wenyewe. Ambapo
tunaweza kusema kuwa tamthiliya ya kiswahili ilikuwepo tangu enzi za jadi na
jadi. Mtazamo wa pili unaelezea Tamthilia ya Kiswahili...
Imeandaliwa na Mtila Mswahili.UTANGULIZIKwa
mujibu wa Mulokozi (1996)
tamthiliya ni kazi ya fasihi andishi au simulizi inayowasilishwa jukwaani mbele
ya hadhira kwa kutumia mazungumzo ya moja kwa moja kati ya wahusika. Hii ina
maana kwamba tamthiliya huzingatia sana mazungumzo na matendo ya wahusika
kuliko maelezo ya mwandishi. Lengo lake kuu ni kuonyesha migogoro ya kijamii,
kisiasa au kifamilia kwa njia ya kisanii.
Wamitila (2004) Wamitila...
Imeandaliwa na Mtila Mswahili.UTANGULIZIFani ni mtindo au utaalamu ambao
mwandishi anautumia katika kazi yake ya fasihi.fani mara nyingi ndio kiini cha
kazi ya fasihi ambapo muandishi anaamua aende na mpango kazi gani katika kazi
yake ni mtiririko wa kazi ya kisanaa
ambapo kuna kua na mitindo,miundo,taswira na wahusika
Wataalamu mbalimbali wamechambua kwa
kina fani na maudhui katika fasihi, wakifafanua maana zake na kuonyesha
uhusiano...
Subscribe to:
Posts (Atom)