KING SOLOMON’S
EDUCATION SERVICES
Day care,
Nursery, Pre-and Primary School
Our Motto:
Success and prosperity
(
0784-316570, 0754-316570, or 0715-316570* 63088, D’salaam. East Africa. E.mail:
ceo@kses.co.tz
School Location:
Goroka “B”, Toangoma ward, Temeke Municipality, Dar es salaam (East of and
intervisible to St. Mary’s schools, Mbagala)
MTIHANI
WA ROBO MUHULA . KISWAHILI DARASA LA
PILI
JINA:_____________________________ TAREHE: ________
SEHEMU A
IMLA
1……………………………………
2……………………………………
3……………………………………
4……………………………………
5……………………………………
6……………………………………
SEHEMU B
Jaza nafasi zilizo wazi kwa kuchagua maneno katika kisanduku
7.kiti ………… ni kibovu .(hichi , hiki)
8…………. Ni nyumba ya mjomba. (
hiki, ile)
9…………ni mashamba yetu. (yale ,hicho )
10.kisu ………...... ni kikali. (hichi ,kule)
11……………ni mwalimu wetu. (ile ,yule)
12.begi………….ni la hafidhi. (hili, ule)
SEHEMU C
Andika kinyume cha maneno haya
13. Msichana
…………….
14.Mrefu …………….
15.Baba ……………..
16. Mwanga ……………..
17. Simama …………….
SEHEMU
D
Chora
picha za majina yafuatayo.
18
|
Nyumba
|
|
19
|
Nyoka
|
|
20
|
Ndoo
|
|
21
|
Jembe
|
|
SEHEMU E
Andika neno lililo tofauti na mengine.
22. chaki, rula, ubao, kiti, kitanda
………………………..
23. ugali , mtoli, pilau, nyama,
nyumba…………………...
24. shoka, panga, koleo, jembe, sufulia
…………………..
25. peni, sufulia, mwiko, bakuli, sahani
………………….
…………………………..mwisho…………………………
Nina shida na mitihani ya chekechea kiswahili na hesabu,na kingereza,mitihani ya darasa la kwanza hadi la tatu navipata je?
ReplyDelete