KING SOLOMON SCHOOL.
MTIHANI WA KISWAHILI
GRADE 3.
Soma
habari ifuatayo kasha jibu maswali yake hapo chini
Hapo
zamani za kale kulikuwepo na kijana mmoja akiahamika kwa jina la juma. Alikuwa
na sifa ya upole na mcheshi sana. Juma alipenda sana kufanya shughuli ya
kukusanya mayai polini na kuwinda . alibahatika kuwa na wadogo zake sita ambao
ni Chido, sombo, katuli, chihele, sihili
na rwazi.
Maswali
Hapo
zamani kulikuwepo kijana akifahamika kwa jina la _________
Kijana
huyo alikuwa na sifa zipi __________ na ____________
Juma
alipenda kufanya shughuli zipi ______________ na ___________
Juma
alikuwa na wadogo zake wa ngapi? _______ wataje majina ya wadogo zake _______
________ _______ _______ _______ ________
Andika
maneno yafuatayo katika umoja wake
Umoja
wingi
________ vyura
________ vyoo
________ upungufu
________ kuta
________ vinu
Malizia methali hizi.
Asiyesikia
la mkuu ________________________
Haba
na haba ____________________________
Asiye
na mwana __________________________
Kuishi
kwingi ____________________________
Tenda
wema ___________________
Bora
nusu shari _________________
Panga sentensi zifuatazo kuanzia ya
kwanza hadi ya mwisho 1 – 5
1. Walifahamika
kwa jina la chuda na mbozi ( )
2. Waliishi
kwa upendo na furaha sana kila walipokwenda kuwinda ( )
3. Hapo
zamani palikuwepo na wawindaji wawili (
)
4. Huo
ndio urafiki wa kweli unavyotakiwa (
)
5. Waligawana
sawa kila walichokuwa wamewinda ( )
0 maoni:
Post a Comment